Wednesday, March 9, 2016

UEFA CHAMPIONS LEAGUE, CHELSEA 1 v 2 PSG ( Agg 2-4) IBRAHIMOVIC NA RABIOT WAIPOTEZA BLUES DARAJANI!

Shangwe! Ushindi
2-1
1-1
Bao la Chelsea limesawazishwa na Diego Costa dakika ya 27 kipindi hicho hicho cha kwanza na kufanya 1-1.
Paris Saint-Germain walianza wao kuliona lango la Chelsea  kupitia kwa Adrien Rabiot dakika ya 16.
VIKOSI:
Chelsea wanaoanza XI:
Courtois, Azpilicueta, Cahill, Ivanovic, Kenedy, Mikel, Fabregas, Pedro, Willian, Hazard, Diego Costa
Chelsea Akiba: Begovic, Baba Rahman, Matic, Loftus-Cheek, Oscar, Traore, Remy
Paris Saint-Germain Wanaoanza XI: Trapp, Marquinhos, Thiago Silva, David Luiz, Maxwell, Thiago Motta, Rabiot, Matuidi, Di Maria, Moura, Ibrahimovic
PSG Akiba: Sirigu, Augustin, Van Der Wiel, Stambouli, Kurzawa, Pastore, Cavani
Kepteni John Terry kuikosa mechi hii usiku huu