Thursday, March 10, 2016

UEFA EUROPA LEAGUE: BORUSSIA DORTMUND 3 v 0 TOTTENHAM HOTSPUR, MARCO REUS NA PIERRE-EMERICK WAIDUNDA SPURS!


Borussia Dortmund wanaongoza bao 2-0 bao zote mbili zikifungwa dakika ya 30 na dakika ya 61.
Bao la kwanza limefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 30.

 Bao la pili limefungwa na Marco Reus kipindi cha pili dakika ya 61.
Bao la tatu limefungwa na
Marco Reus tena dakika ya 70

Tottenham Hotspur bado hawajapata kitu mpaka sasa...0-0 KIPINDI CHA KWANZA...