Tuesday, March 8, 2016

WACHEZAJI TWIGA STARS WAPEWA MOTISHA


Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF Salum Madadi akielezea jambo wakati wa mkutano baina ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura ( wapili kushoto) na wachezaji wa Twiga Stars leo jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo wachezaji walihakikishiwa kupokea ahadi yao kama walivyo ahaidi kwa kuwa wamefanikiwa kuifunga timu ya Taifa wanawake Zimbabwe licha ya kutoibuka na ushindi.Kutoka kulia ni Meneja Masoko wa TFF Peter Simon na ni Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Wanawake (TWFA) Bi. Amina Karuma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Wanawake (TWFA) Bi. Amina Karuma (katikati) akielezea jambo wakati wa mkutano baina ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura (kushoto) na wachezaji wa Twiga Stars (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo wachezaji walihakikishiwa kupokea ahadi yao kama walivyo ahaidi kwa kuwa wamefanikiwa kuifunga timu ya Taifa wanawake Zimbabwe licha ya kutoibuka na ushindi. Kulia ni Meneja Masoko wa TFF Peter Simon.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura ( wapili kushoto) akizungumza wakati wa mkutano baina yake na wachezaji wa Twiga Stars leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF Salum Madadi na kutoka kulia ni Meneja Masoko wa TFF Peter Simon na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Wanawake (TWFA) Bi. Amina Karuma.

Baadhi ya wachezaji wa Twiga Stars wakimsikiliza Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura (hayupo pichani) alipowatembelea leo jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo wachezaji walihakikishiwa kupokea ahadi yao kama walivyo ahaidi kwa kuwa wamefanikiwa kuifunga timu ya Taifa wanawake Zimbabwe licha ya kutoibuka na ushindi.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Wanawake (TWFA) Bi. Amina Karuma alipowasili katika kambi ya Timu ya Twiga Stars leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Ufundi TFF Salum Madadi.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura (katikati) akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Salum Madadi alipotembelea kambi ya Twiga Stars leo jijini Dar es Salaam Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Wanawake (TWFA) Bi. Amina Karuma.
Picha na Frank Shija, WHUSM