Monday, March 14, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI KAGERA


Waziri Mkuu, Kassim majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kwanda cha maji cha Bunena Spring Water akiwa akika ziara ya mkoa wa Kageza Machi 13, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi mkubwa wa maji wa Bunena mjini Bukoba ulio chini ya mamlaka ya maji ya mji huo BUWASA akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Kagera machi 13, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mlkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua kiwanda cha Maji ya Bunena Spring Water kilichopo mjini Bukoba Machi 13, 2016. Alikuwa katika sik ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Kagera.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua uzalishaji wa maji ya kiwanda cha maji ya Bunena Spring Water cha Bukoba mjini akiwa aktika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa waKagera Machi, 13, 2016. Kulia kwake ni Askofu wa jimbo la Bukoba,Method Kilaini. (Picha na Ofisi ya waziri Mkluu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo mafupi kuhusiana na maji hayo ya kiwanda cha maji ya Bunena Spring Water cha Bukoba mjini akiwa aktika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa waKagera Machi, 13, 2016. Kulia kwake ni Askofu wa jimbo la Bukoba,Method Kilaini. (Picha na Ofisi ya waziri Mkluu)