Monday, April 25, 2016

BABA MZAZI WA JUNIOR MWEMEZI KABIGUMILA AZIKWA LEO KIJIJINI KAMACHUMU- BUKOBA.

Jeneza la Marehemu Dr. Simeon K. Kabigumila, Baba Mzazi wa Junior Mwemezi Kabigumila ambaye ni Mwandishi wa Azam Tv Bukoba, Ukiwa umebebwa kuelekea katika kaburi lake yalipofanyika mazishi kijijini kwao Kamachumu Bukoba leo April 24, 2016. Marehemu Dr. Simeon alifariki kutokana na Ajali ya Gari Jijini Arusha.
Baadhi ya Watoto wa Marehemu wakitoa salamu zao za Mwisho


Ni Majonzi makubwa