Thursday, April 21, 2016

DROO YA CAF KOMBE LA SHIRIKISHO: YAFANYIKA, YANGA KUIVAA GD ESPERANCA YA ANGOLA

DROO ya kupanga Mechi za Raundi ya Mchujo ya Mashindano ya CAF ya Kombe la Shirikisho imefanyika muda mfupi uliopita huko Cairo, Egypt na Mabingwa wa Tanzania Bara Yanga kupangwa na Klabu ya Angola GD sagrada Esperanca.

Mechi za Raundi hii ya Mchujo zitachezwa kati ya Mei 6 na 8 kwa Mechi za Kwanza na za Pili ni kati ya Mei 17-18 na Washindi 8 kuingia Hatua ya Makundi.

Timu zilizotoka Kombe la Shirikisho:
Angola Sagrada Esperança
Egypt Misr El-Makasa
Gabon CF Mounana
Ghana Medeama
Morocco FUS Rabat
Morocco Kawkab Marrakech
Tunisia Espérance de Tunis
Tunisia Stade Gabèsien

Kutoka CAF CHAMPIONS LIGI:
Algeria MO Béjaïa
Democratic Republic of the Congo TP Mazembe
Libya Al-Ahli Tripoli
Mali Stade Malien
South Africa Mamelodi Sundowns
Sudan Al-Merrikh
Tanzania Young Africans
Tunisia Étoile du Sahel