Thursday, April 7, 2016

EUROPA LEAGUE ...BORUSSIA DORTMUND 1 v 1 LIVERPOOL

A Borussia Dortmund fan holds up a sign welcoming backJurgen Klopp
A Borussia Dortmund flag bearer wears a t-shirt with a message for Liverpool manager Klopp One Dortmund fans uses a Beatles reference as his side chase Europa League success Dortmund are favourites to win this season's Europa League Liverpool's fans show a banner featuring Klopp before the game Klopp manager of Liverpool
ROBO FAINALI
Alhamisi Aprili 6

Mechi Kuanza Saa 4 Dakika 5 Usiku

Braga (Portugal) vs Shakhtar Donetsk (Ukraine)
Villarreal (Spain) vs Sparta Prague (Czech Republic)
Athletic Bilbao (Spain) vs Sevilla (Spain)
Borussia Dortmund (German) vs Liverpool (England)

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp ambae anarejea kuivaa Klabu yake ya zamani Dortmund aliyoiongoza kutwaa Ubingwa wa Bundesliga mara mbili na pia kuwafikisha Fainali ya UEFA CHAMPIONS LIGI.
Meneja wa sasa wa Dortmund, Thomas Tuchel, amewataka Mashabiki wao kumpokea vyema Klopp.

Dortmund,ambao wametwaa Kombe mara 2 lilipokuwa likiitwa UEFA CUP, wameshinda Mechi nyingi za EUROPA LIGI Msimu huu, Mechi 7, kupita Timu yeyote na Straika wao kutoka Gabon, Pierre-Emerik Auameyang ana Goli 7 kwenye michuano hii na kumfanya awe wa Pili katika Listi yake ya Wafungji Bora.
Liverpool, ambao wametwaa UEFA CUP mara 3, waliwatoa wezao wa England, Man United, katika Raundi iliyopita.