Thursday, April 7, 2016

EUROPA LEAGUE: BORUSSIA DORTMUND 1 v 1 LIVERPOOL, MATS HUMMELS AOKOA JAHAZI MBELE YA KOCHA WAO WA ZAMANI KLOPP!

1-1Borussia Dortmund bao lake la kusawazisha  limefungwa na 
Mats Hummels 48

Liverpool walipatiwa bao na 
Divock Origi 36'
Kikosi cha LiverpoolKikosi cha Borussia Dortmund kilichoanza dhidi ya LiverpoolReus akichuana na mchezaji wa Liverpool Clyne
VIKOSI:
Borussia Dortmund wanaoanza XI:
Weidenfeller, Piszczek, Bender, Hummels, Schmelzer, Castro, Weigl, Durm, Mkhitaryan, Reus, Aubameyang
Dortmund akiba: Burki, Sahin, Ginter, Leitner, Pulisic, Sokratis, Kagawa
Liverpool wanaoanza XI: Mignolet, Clyne, Lovren, Sakho, Moreno, Henderson, Can, Milner, Lallana, Coutinho, Origi
Liverpool akiba: Ward, Toure, Smith, Allen, Ibe, Firmino, Sturridge

ROBO FAINALI
Alhamisi Aprili 6

Mechi Kuanza Saa 4 Dakika 5 Usiku

Braga (Portugal) vs Shakhtar Donetsk (Ukraine)
Villarreal (Spain) vs Sparta Prague (Czech Republic)
Athletic Bilbao (Spain) vs Sevilla (Spain)
Borussia Dortmund (German) vs Liverpool (England)

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp ambae anarejea kuivaa Klabu yake ya zamani Dortmund aliyoiongoza kutwaa Ubingwa wa Bundesliga mara mbili na pia kuwafikisha Fainali ya UEFA CHAMPIONS LIGI.
Meneja wa sasa wa Dortmund, Thomas Tuchel, amewataka Mashabiki wao kumpokea vyema Klopp.


Dortmund,ambao wametwaa Kombe mara 2 lilipokuwa likiitwa UEFA CUP, wameshinda Mechi nyingi za EUROPA LIGI Msimu huu, Mechi 7, kupita Timu yeyote na Straika wao kutoka Gabon, Pierre-Emerik Auameyang ana Goli 7 kwenye michuano hii na kumfanya awe wa Pili katika Listi yake ya Wafungji Bora.
Liverpool, ambao wametwaa UEFA CUP mara 3, waliwatoa wezao wa England, Man United, katika Raundi iliyopita.