Friday, April 1, 2016

EVENT YA "BMG MEET AND GREET LIVE" KUFANYIKA JIJINI MWANZA WIKI IJAYO.

KUTANA NA MARAFIKI ZAKO WA MTANDAONI LIVE BILA CHENGA.NI KATIKA "BMG MEET AND GREET LIVE" ITAKAYOFANYIKA JUMAMOSI IJAYO APRIL 09,2016 RIVER SIDE HOTEL KILOLELI JIJINI MWANZA KUANZIA SAA NANE MCHANA NA KUENDELEA!
Wapendwa Wasomaji wa Binagi Blog-BMG, imeandaliwa event ya kuwakutanisha wadau wote ili kufahamiana kwa wasiofahamiana na kusalimiana live kwa wanaofahamiana.

Mchango kwa kila mshiriki ni shilingi 10,000 tu na utakunywa, kula na kucheza pamoja na Marafiki zako wa mitandaoni kama vile whatsupp, Instagram, facebook pamoja na Binagi Blog-BMG.

NI WAKATI WAKO SASA KUKUTANA NA KUSALIMIANA NA MARAFIKI ZAKO LIVE.Zaidi piga simu nambari
+255 (0) 757432694 au binagimediagroup@gmail.com