Sunday, April 17, 2016

JOHN MBOJE NA JASINTA FREDERICK BYEKWASO WAMEREMETA BUKOBA

Bw. John Mboje na Mkewe Jasinta wakivishana pete wakati walipofunga ndoa yao huko Bushangalo Karagwe Bukoba Vijijini Jumamosi 16, April 2016.

"Kwenye Ndoa za Kanisani hakuna Takala hivyo kwa niaba ya Mungu naifunga Ndoa hii kwa kuwaunganisha kuwa mwili mmoja mpaka kifo kitakapo watenganisha na hapa chini ya jua hakuna Mtu yoyote atakayekuwa na uwezo wa kuivunja ndoa hii hata mimi niliyeifunga sina mamlaka ya kuivunja nimeifunga na funguo nimeshazirejesha kwa Mungu yeye ndiye pekee mwenye uwezo wa kuivunja kwa mmoja wenu kufa alichounganisha Mungu Mwandamu hasikitenganishe Amen" 

Picha hapo juu ni Bishop Vincet J.W Chacha na Viongozi wenzake wakiwafanyia maombi wanandoa hao mara baada ya kufunga NdoaWakivalishana Pete za ndoa ikiwa ni ishara ya ahadi ya maagano yao Kanisani. Picha zote na Faustine Ruta.
Bw. John Mboje akimvisha  Mkewe Jasinta Pete.
Baba Mzazi wa Bwana Harusi
John Mboje akiwapongeza mara baada ya kuungana Ndani ya Kanisa huko Bushangalo Karagwe.Bwana Harusi John Mboje na Mkewe Jasinta wakiwa sambamba na wasimamizi wao kwenye Misa ya kufunga Ndoa yao.
Bishop Vincet J.W ChachaBi. Harusi Jasinta Frederick Byekwaso akionyesha Cheti cha ndoa mara baada ya kufunga ndoa yao

Bwana harusi John Mboje akionyesha Cheti cha ndoa mara baada ya kufunga ndoa yao
(Kushoto) Bwana Harusi
John Mboje akipongeza kufanikisha jambo hilo kwa makofiBishop Vincet J.W Chacha ndie aliyewafungisha ndoa huko Bushangalo Karagwe. Na hapa walikuwa wakipokea maombi kanisani hapo.Bwana harusi (wa pili kulia) akiserebuka kwa furaha wakati wa kufunga Ndoa yao.
Furaha ilitawala Kanisani hapo, Bwana Harusi John Mboje alifunguka kwa sana. Bashasha..Tabasamu....baada ya kupokea Maombi.
Waumini wakishangilia tukio hilo ndani ya kanisa hilo.
Wakisaini vyeti vyao vya ndoa.
Bw. John Mboje na Mkewe Jasinta wakisikiliza kwa makini Neno kutoka kwa Bishop Vincet J.W Chacha(hayupo pichani)

Bw. John Mboje na Mkewe Jasinta wakiwa na Benetson Mbeikya maarufu kwa jina la Benny Nje ya Kanisa wakati walipomaliza kufunga ndoa yao huko Bushangalo Karagwe BukobaBw. John Mboje na Mkewe Jasinta wakimeremeta
Bi. harusi  Jasinta Frederick Byekwaso akiwa kwenye Gari tayari mara baada ya kufunga Ndoa Kijjini Bushangalo Bukoba Vijijini.
Bw. John Mboje na Mkewe Jasinta wakiwa kwenye gari huku wakiwa na nyuso za Furaha ya Kufunga Ndoa.
Msimamizi wa Bwana Harusi nae akiwa na Tabasamu la kufunga Ndoa kwa rafiki yake wa Karibu bwana John Mboje
Tayari kwa kuondoka kanisani hapo
Kuelekea Bukoba Mjini

Msafara wa magari wa harusi hiyo "usipime kabisa".Wakipata picha kwenye ziwa Victoria jioni kabla ya kuelekea Ukumbini.
Furaha ya Maisha na Amani uanzia hapa....
Bw. John Mboje na Mkewe Jasinta wakiwa wameshikana mikono wakijivinjali Ufukweni Ziwa Victoria Bukoba maeneo ya Spice.

Bw. John Mboje na Mkewe Jasinta wakipozi kwa picha Ufukweni Ziwa Victoria mara baada ya kufunga ndoa yao - Bukoba

Mwaaaa"


Picha za pamoja


Picha ya Pamoja ya Wadau wa karibu wa Maharusi


Bw. John Mboje
Keki Ukumbini Lina's
Maharusi wakiingia Ukumbini Lina's
Mwenyekiti wa Harusi Bw. Pesha akitoa neno utambuzi

Mambo safi...Maharusi wakiingia Ukumbini
Utambulisho kwa Wazazi wa Maharusi

1,2,3.....
Keki ikikatwa tayari kwa kuliwa
Bw. John Mboje na Mkewe Jasinta wakikata Keki
Bw. John Mboje na Mkewe Jasinta wakilishana Keki

Kamati ikisherekea baada ya kupata Keki huku wakiserebuka kwa Muziki wa aina yake kutoka Gift Disco Sound Bukoba Mjini.

Bw. John Mboje na Mkewe Jasinta wakigongeana...
Bw. John Mboje na Mkewe Jasinta
Katikati ni Maharusi wakiwa Ukumbini. Wa kwanza kushoto na kulia ni wapambe wa Maharusi
Taswira Ukumbini Lina's

Mzee Mwemezi akimpongeza Bwana Harusi John Mboje Ukumbini Lina's Club

Mzee Mwemezi akimpongeza Bi. Harusi

Zawadi


Taswira Ukumbini wakati sherehe ikiendelea.... 
www.bukobasports.com Inawatakia Maisha Mema yaliyojaa Furaha na Upendo wanandoa.