Saturday, April 9, 2016

LA LIGA: REAL MADRID 4 v 0 EIBAR, JAMES,VAZQUEZ, JESSE NA RONALDO WAFUNGA BAO


Cristiano Ronaldo kafunga bao la 30 La Liga
Real Madrid Wamefunga bao kupitia kwa 
James Rodríguez dakika ya 5
Lucas Vázquez dakika ya 18

Cristiano Ronaldo dakika ya 19
Jesé dakika ya 39 


Mpaka mapumziko Real Madrid 4-0 dhidi ya Eibar  
Kipindi cha pili hakuna aliyepata bao

James
Lucas Vazquez