Thursday, April 14, 2016

UEFA EUROPA LEAGUE..LIVERPOOL 4 v 3 BORUSSIA DORTMUND (Agg 5-4) DEJAN LOVREN AIPELEKA NUSU FAINALI LIVERPOOL, KLOPP AFURAHIA USHINDI HUO!

Dejan Lovren dakika ya 90 aliipa ushindi Liverpool kwa kufunga bao la nne kichwa kufuatia kona na kuifanya Liverpool kusonga mbele kwa idadi ya bao jumla ya Agg. 5-4Mamadou Sakho dakika ya 78 alisawazisha kwa kufanya 3-3Bao za Liverpool zimefungwa kipindi cha pili na
Divock Origi 48' •
Philippe Coutinho 66'
Liverpool tayari wamenyukwa bao 2-0 na Timu ya Borussia Dortmund bao zikifungwa na Henrikh Mkhitaryan dakika ya 5 na dakika ya 9 Pierre-Emerick Aubameyang aliwafunga bao la pili.Hadi mapumziko Borussia Dortmund 2 Liverpool 0