Saturday, April 2, 2016

FULL TIME: ASTON VILLA 0 v 4 CHELSEA, LOFTUS-CHEEK, PATO NA PEDRO WAITEKETEZA VILLA KWAO

Pato akishangilia bao lake la mkwaju wa penatiPedro dakika ya 59 aliifungia bao la 4 Chelsea na kufanya iongoze bao 4-0 dhidi ya Aston Villa na Bao la tatu alilifunga mwenyewe dakika ya 46 mapema kipindi cha pili kilipoanza tu.Dakika ya 45 kipindi cha kwanza Pato aliipatia bao la pili kwa mkwaju wa penati chelsea na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya Wenyeji Aston Villa.Baadhi ya Viongozi kwenye Timu ya Aston Villa wakijiuliza jamboUjumbe mzito!
Loftus-Cheek aipa bao la kuongoza Chelsea

Matt Miazgaaanzishwa kwa Chelsea dhidi ya Aston Villa wakiwa Villa Park