Saturday, April 2, 2016

EL CLASICO...BARCELONA 1 v 2 REAL MADRID, CRISTIANO RONALDO AIBEBA REAL KUSHINDA LEO DHIDI YA BARCA CAMP NOU!

Cristiano Ronaldo dakika ya 85 aliipa Real bao la ushindi na hivyo kuibuka kidedea katika mtanange wao huo wa Dabi ambayo ujulikana zaidi kwa jina la El Clasico usiku huu.Karim BenzemaKarim Benzema dakika ya 62 aliisawazishia bao Real na kufanta 1-1.
Gerard Piqué dakika ya 56 kipindi cha pili anaitungua Real Madrid na kufanya 1-0.1-0Luis Meneja wa BarcelonaZidaneLionel MessiBenzemaBale akituma..Hadi mapumziko, Barca 0 na Real 0Ronaldo na Messi wakipeana mkono kabla ya mechi
VIKOSI:
BARCELONA: Bravo; Alves, Pique, Mascherano, Alba; Rakitic, Busquets, Iniesta; Messi, Suarez, Neymar.
Akiba: Ter Stegen, Vermaelen, Bartra, Arda, Rafinha, Munir, Sergi Roberto.

REAL MADRID: Navas; Carvajal, Pepe, Ramos, Marcelo; Kroos, Casemiro, Modric; Ronaldo, Benzema, Bale.
Akiba: Casilla, Danilo, Nacho, James, Vazquez, Isco, Jese.