Saturday, April 23, 2016

FULL TIME: BOURNEMOUTH 1 v 4 CHELSEA

Bao za Chelsea zimefungwa na Pedro dakika ya 5 na bao la pili lilifungwa na Eden Hazard dakika ya 34 kipindi cha kwanza na mpira kwenda mapumziko Chelsea wakiwa mbele ya bao 2-1 dhidi Bournemouth. Bao la Bournemouth lilifungwa na Tommy Elphick dakika ya 36.

VIKOSI:
Bournemouth: Boruc, Francis, Elphick, Cook, Daniels, Pugh, Surman, Gosling, Stanislas, Grabban, King.
Subs: Wilson, MacDonald, Afobe, Federici, Wiggins, Ritchie, O'Kane.

Chelsea: Begovic, Azpilicueta, Mikel, Ivanovic, Baba, Matic, Fabregas, Pedro, Willian, Hazard, Costa.
Subs: Falcao, Alexandre Pato, Traore, Kenedy, Miazga, Amelia, Loftus-Cheek.

Referee: Roger East