Saturday, April 23, 2016

FULL TIME LA LIGA: RAYO VALLECANO 2 v 3 REAL MADRID, GARETH BALE AIBEBA REAL KUSHINDA LEO!

Gareth Bale 81Lucas Vázquez (Real Madrid) dakika ya 52 anaisawazishia bao Real na kufanya 2-2, Ni baada ya Danilo kuachia Krosi safi na hatimaye Vazquez kushona bao.Bale dakika ya 35 aliwapachikia bao la kwanza Real na kufanya bao kupungua na kuwa 2-1. Bao za Rayo Vallecano zimefungwa mapema na Adri Embarba dakika ya 7 Miku dakika ya 14Rayo wachezaji wakipongezana baada ya kuanza wao kupata mabao
Rayo Vallecano v Real Madrid LIVE: