Sunday, April 3, 2016

FULL TIME: LEICESTER CITY 1 v 0 SOUTHAMPTON, MORGAN AIPAISHA ZAIDI KILELENI FOX...SASA WAELEKEA KWENYE UBINGWA!

Leicester City wapanda kileleni kwa pointi 71-0Ushindi huu umewapandisha zaidi kileleni kwa pointi 69 wakiwapita wenzao kwa alama 7 Spurs ambao wako nafasi ya pili kwenye msimmo wa Ligi Kuu England msimu huu.Morgan dakika ya 38 anaipatia bao la kuongoza Leicester City 1-0 dhidi ya Southampton.
VIKOSI:
Leicester walioanza XI:
Schmeichel, Simpson, Morgan, Huth, Fuchs, Mahrez, Drinkwater, Kante, Albrighton, Vardy, Okazaki
Akiba: King, Amartey, Gray, Ulloa, Dyer, Wasilewski, Schwarzer
Southampton walioanza XI: Forster, Cedric, van Dijk, Fonte, Bertrand, Wanyama, Clasie, Steven Davis, Mane, Targett, Pelle
Akiba: Yoshida, Rodriguez, Tadic, Romeu, Ward-Prowse, Stekelenburg, Austin


MSIMAMO ULIVYO KWA SASA KWA TIMU 10 ZA JUU:
Barclays Premier League
PosLogo &TeamPWDLGDPts
1Leicester CityLeicester City3220932469
2Tottenham HotspurTottenham Hotspur32171143262
3ArsenalArsenal3117772258
4Manchester CityManchester City3116692454
5West Ham UnitedWest Ham United31131261251
6Manchester UnitedManchester United3014881150
7SouthamptonSouthampton3213811847
8Stoke CityStoke City3213811-347
9LiverpoolLiverpool301299545
10ChelseaChelsea3111119844