Sunday, April 17, 2016

FULL TIME: LEICESTER CITY 2 vs 2 WEST HAM UNITED, FOX WACHOMOA DAKIKA ZA LALA SALAMA!

Leicester wasawazisha bao dakika za lala salama kwa 2-2.
Mechi zinazofuata kwa Leicester ni kama ifuatavyo!
Leicester vs Swansea
Man Utd vs Leicester
Leicester vs Everton
Chelsea vs Leicester
Andy Carroll dakika ya 84 aliisawazishia bao kwa kufanya 1-1 na ndani ya dakika mbili tena Aaron Cresswell akawapa West Ham United bao la pili dakika ya 86 na kutangulia mbele kwa bao 2-1 dhidi ya VInara Leicester City na kwenye Uwanja wao KIng Power.
Jamie Vardy akipongezwa na wenzake baada ya kuwaongoza kupata bao mapema dakika ya 18Jamie Vardy akishangilia bao lake la dakika ya 18 kwa Mashabiki wao King Power