Saturday, April 9, 2016

FULL TIME: MANCHESTER CITY 2 v 1 WEST BROM ALBION, NASRI AIPA USHINDI CITY KWAO ETIHAD!


City Leo wametoka nyuma kwa Bao 1 na kuichapa West Bromwich Albion Bao 2-1.
WBA walitangulia kufunga kwa Bao la Stephane Sessegnon na Sergio Aguero kusawazisha kwa Penati.
Hadi Mapumziko Bao zilikuwa 1-1.
Bao la ushindi la City lilifungwa na Samir Nasri.

Mashabiki wa Man City wakiwa wamevaa ponchos wakati wa Mvua na mechi ikiendelea...Aguero akishangilia bao lake la penati baada ya kusawazisha.1-1