Wednesday, April 20, 2016

FULL TIME: MANCHESTER UNITED 2 v 0 CRYSTAL PALACE, DAMIEN DELANEY AJICHOMA BAO! MATTEO DARMIAN AKIFUNGA NAE LA PILI

Manchester United wamepata bao la kwanza la kujifunga kwa mchezaji wa Palace Damien Delaney mapema dakika ya  4 kipindi cha kwanza na kuongoza kwa bao hilo 1-0 dhidi ya Crystal Palace kipindi cha kwanza cha dakika 45.

Crystal Palace 0 Man United 1 mpaka Timu zinakwenda mapumziko.

Kipindi cha pili dakika ya 55 Matteo Darmian aliwafungia bao la pili Man United na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya Palace.