Sunday, April 17, 2016

FULL TIME: SIMBA 0 v 1 TOTO AFRICANS

Full time...Simba 0-1 Toto Africans
Zinaongezwa dakika 4
Dakika ya 73 bado ni 1-0 wekundu wa Msimbazi bado hawajapata bao la kuchomoa mpaka sasa...
Faustine Ruta Mpaka mapumziko Simba 53% Toto Africans 47%

Faustine Ruta
Faustine Ruta Dakika ya 47 kipindi cha pili Hassan Kessy Ramadhani wa Timu ya Simba anaoneshwa Kadi nyekundu!

Dakika ya 21 Waziri Junior anaipatia bao la kwanza Toto Africans ya jijini Mwanza mechi ikichezwa kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Hili ni bao la 6 kwa Waziri msimu huu.