Sunday, April 3, 2016

FULL TIME: YANGA 3 -1 KAGERA SUGAR


Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Shaban Ibrahim katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, timu hizo zimefungana 1-1 na mpira ni kipindi cha pili sasa. (Picha na Francis Dande)

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kushoto) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Erick Kyaruzi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.