Wednesday, April 13, 2016

MASHABIKI WA MAN UNITED WALALAMIKA KUKOSEKANA KWA NYOTA ANTHONY MARTIAL KWENYE LISTI YA PFA

Nyota wa Man ​​United mwenye umri wa miaka 20 kutoingizwa kwenye listi ya PFA Mchezaji Bora wa Mwaka, Mashabiki wa United wamelitolea macho hilo swala kwenye akaunti ya Twitter...