Saturday, April 9, 2016

CAF CHAMPIONS LEAGUE: YANGA 1 vs 1 AL AHLY

Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akiwatoka wachezaji wa Al Alhy ya Misri katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1. (Picha na Francis Dande)
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akiwatoka wachezaji wa Al Alhy ya Misri katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mashabiki wa Misri wakishangilia timu yao.
Deus Kaseke akiwatoka walinzi wa Al Ahly.
Beki wa Yanga, Juma Abdul akiwatoka mabeki ya Al Ahly wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1.