Friday, April 22, 2016

REDIO DREAM FM 91.3 MBEYA KWA KUSHILIKIANA NA MICHUZI BLOG NA PEPSI WANAKULETEA MISS MBEYA 2016


Pichani ni Mshiriki wa Miss Mbeya 2016 Anitha Patric, Redio Dream FM 91.3 Mbeya kwa kushilikiana na Michuzi Blog, Pepsi, Ufunuo Clinic, Access Computer Limited, Viva Night Club, Milo Group Limited, New karim Hardware, City Pub, Paradise Inn Hotel, Club K-Mo, Ace Classic Wear, Ally Rich Sanaa Art, New Mama Land Pub na Manyanya Inn Hotel and Tours wanakuletea Miss Mbeya 2016, Anaetarajiwa kupatikana Ijumaa ya Tarehe Sita ya Mwezi wa Tano (06-05-2016) Mwaka huu Paradis Inn Hotel, Pia kutakuwa na Burudani Mbalimbali ikiwemo Shoo kali kutoka kwa Mwanamuziki Izzo Bisnes na wasanii wanaofanya vizuri Nyanda za juu Kusini.

Eunice John moja kati ya Washiliki wa Miss Mbeya 2016

Julitha Mponela moja kati ya Washiliki wa Shindano la kumpata Miss Mbeya 2016.

Afrodisia Chapa miongoni mwa Washiliki wa Miss Mbeya 2016.


Emiliana Abdalla

Agness Boliver

Juliana Gilbet

Aziza Lyamuya


Shalon Lugwe

Nancy Matta

Praxeda Geofrey