Wednesday, May 25, 2016

AIFF YOUTH CUP: SERENGETI BOYS 3 vs 0 MALAYSIA, VIJANA MATATA WA BONGO SERENGETI NI WASHINDI WA 3!

TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Vijana chini ya Miaka 17, Serengeti Boys, Leo imeitwanga Malaysia 3-0 kwenye Mashindano ya 2016 AIFF Youth Cup yanayochezwa huko Tilak Maidan Stadium, Vasco, Goa Nchini India na kutwaa ushindi wa Nafasi ya 3.
Bao za Serengeti Boys hii Leo zilifungwa na Rashid Abdallah, Dakika ya 13, Shabani Zuberi, 41 na Muhsini Malima, 50.
Baadae Leo, USA na South Korea, ambazo zote zilitoka Sare na Serengeti Boys, zitacheza Fainali kumsaka Bingwa.

MSIMAMO WA MWISHO WA KUNDI:


AIFF YOUTH CUP
Ratiba/Matokeo:

15 May 2016
Tanzania 1 vs 1 United States
-TANZANIA: Mohamed Abdallah 13', USA: Grant Ogudimu 3'
15 May 2016
India 2 Malaysia 2
17 May 2016
India 1 Tanzania 3
-Komal Thatal, 36' TANZANIA: Maziku Amani Goal 20', Mohammed Sarif Khan 28' (o.g.),
Asad Ali 47'
 

17 May 2016
Malaysia 0 South Korea 3

19 May 2016
South Korea 2 vs 2 Tanzania
-KOREA: Kim Taehwan 15', Joung Sungjune 58' TANZANIA: Asad Ali Juma 12', Maulid Lembe 87'

19 May 2016
United States 4 India 0
21 May 2016
United States 0 South Korea 0
21 May 2016
Tanzania 2 Malaysia 2
23 May 2016
Malaysia 1 United States 2

2 May 2016

South Korea 0 India 0

Mshindi wa 3

25 May 2016

Tanzania 3 Malaysia 0
FAINALI
25 May 2016

United States v South Korea