Wednesday, May 4, 2016

FULL TIME: AZAM FC 2 v 2 JKT RUVU


Mshambuliai wa Azam FC, Kipre Tchetche akiwatoka mabeki wa JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi Complex jijini Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare ya 2-2. (Picha na Francis Dande)

Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco (wa pili kushoto) akitafuta mbinu ya kumtoka beki wa JKT Ruvu, Ranatus Morris katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi Complex jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji wa Azam FC, Mudathir Yahya (kuli) akichuana na kiungo wa JKT Ruvu, Naftal Nashon katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi Complex jijini Dar es Salaam

Msambuliaji wa pembeni wa Azam FC, Himid Mao akiwatoka mabeki wa JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi Complex jijini Dar es Salaam.

Golikipa wa Azam FC, Aishi Manula akiokoa moja ya hatari langoni mwake.

Wachezaji wa JKT Ruvu wakidhangilia baada ya kupata bao la kusawazisha.

Wachezaji wa JKT Ruvu wakishangilia baada ya kusawazisha bao la pili.