Wednesday, May 25, 2016

JOSE MOURINHO KUTAMBULISHWA OLD TRAFFORD IJUMAA HII, DILI LAKE NI LA MKATABA WA MIAKA 3 NA ATABEBA KIASI CHA £45m!

It is thought that Mourinho, who has been out of work since last December, will sign a deal worth £45million
Mazungumzo ya kumleta Mourinho katika uwanja wa Old Trafford yameingia siku yake ya pili.
Van Gaal alifutwa kazi siku ya Jumatatu ,siku mbili tu baada ya kushinda kombe la FA.
''Mashabiki katika klabu ya Man United wanahitaji mchezo wa kufurahisha na nina hakika Mourinho atakuja na kuisadia Man United'', alisema aliyekuwa kiungo wa kati wa timu hiyo paul Scholes.
Van Gaal aliiongoza United hadi nafasi ya tano katika ligi ya Uingereza lakini alikosolewa kwa mchezo wake usio na mashambulizi huku timu hiyo ikifunga mabao 49 msimu huu.
United executive vice-chairman Ed Woodward has been at Manchester United's London officesUnited executive vice-chairman Ed Woodward