Monday, May 23, 2016

JULITHA KABETE NDIYE MISS DAR CITY CENTER 2016

Warembo walioingia tatu bora wakiwa katika picha ya pamoja na Miss Dar City Centre 2016, Julitha Kabete
Tano bora yote hiyo hapo.

Miss Dar City Center 2016 NA Balozi wa TV1 Tanzania, Julitha Kabete akipozi kwa picha baada ya kutangwa mshindi.

Shoy ya ufunguzi ilikuwa hivi...