Saturday, May 14, 2016

LA LIGA, DEPORTIVO LA CORUNA 0 v 2 REAL MADRID, CRISTIANO RONALDO AIPA USHINDI REAL!

Cristiano Ronaldo mapema dakika ya7 anaipachikia bao la kuongoza baada ya ushirikiano safi wa usaidizi wa Karim Benzema.

Cristiano Ronaldo dakika ya 25 anapachika tena bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya Wenyeji Deportivo La Coruna. 

HIVI NI VIKOSI VITAKAVYOCHEZA HII LEO
Barcelona: Ter Stegen, Pique, Mascherano, Alba, Alves, Busquets, Rakitic, Iniesta, Neymar, Suarez, Messi.
Akiba: Masip, Arda, Rafinha, Munir, Roberto, Aleix Vidal, Mathieu.

Real Madrid:
Navas, Pepe, Ramos, Marcelo, Carvajal, Kroos, Casemiro, Modric, Benzema, Bale, Ronaldo.
Akiba: Casilla, Varane, Rodriguez, Kovacic, Jese, Isco, Danilo.


Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane alipowasili huko Riazor Stadium Cristiano Ronaldo akishuka kwenye basi tayari kwa mchezo leo hii