Sunday, May 8, 2016

LA LIGA: REAL MADRID 3 v 2 VALENCIA

REAL MADRID 3 vs 2 VALENCIA
Wakiwa kwao Nyumbani Santiago Bernabeu, Real Madrid waliifunga Valencia 3-2 kwa Bao za Cristiano Ronaldo, Bao 2, na Karim Benzema huku Valencia wakifunga za kwao kupitia Rodrigo Moreno na Andre Gomes.
Cristiano Ronaldo akifunga moja ya bao lake.