Saturday, May 14, 2016

LA LIGA: GRANADA 0 v 3 BARCELONA, SUAREZ AIFUMUA GRANADA KWA HAT-TRICK YAKE NA KUIPA UBINGWA BARCA!

Luis Suárez dakika ya 22 anaipachikia bao la kuongoza kwa kufanya 1-0 baada ya kupokea pasi kutoka kwa Jordi Alba.
Dakika ya 38 Luis Suarez alipachika bao tena na kufanya kuwa 2-0 dhidi ya Granada.