Sunday, May 15, 2016

MANCHESTER UNITED v BOURNEMOUTH, KIZAAZAA OLD TRAFFORD LEO KABLA YA MECHI HII YASEMEKANA KULIKUWA NA BOMU UWANJANI!! MECHI YAHARISHWA!


MECHI ya BPL, Ligi Kuu England, kati ya Manchester United na Bournemouth iliyokuwa ichezwe Uwanjani Old Trafford imefutwa kwa sababu za kiusalama.
Mechi ni ya mwisho ya Ligi kwa Timu hizo mbili na imefutwa baada ya kugundulika kwa mzigo wa mashaka kwenye Jukwaa la Stetford End na kuwafanya Walinzi kuwatoa nje ya Uwanja Mashabiki waliokuwa Jukwaani hapo pamoja na wale wa Jukwaa la Sir Alex Ferguson huku Polisi na Mbwa spesho wa Polisi wakipita kila sehemu kuchunguza.
Baada ya muda mfupi Washabiki wakatangaziwa kuwa Mechi hiyo imefutwa na haijajulikana lini itachezwa.

Fans streamed to the exits in both the Sir Alex Ferguson Stand the Stretford End on Sunday
Breaking News: watu 20,000 Wamehamishwa kutoka kwenye nafasi zao kwenye ndani ya Uwanja wa Old Trafford baada ya mkuu wa usalama Kutangaza kwa Alama ya Hatari ('Code Red'
' Kanuni Red ') wakati wa dharura kabla ya mchezo kupigwa leo hii punde..

Sniffer dogs search the West Stand after stands were evacuated before the football between Manchester United and Bournemouth

At around 3.20pm the remaining fans from all the stands began to filter out of the ground - with the stadium's PA system informing supporters of the latest information

A bag is searched in the stands prior to the match being abandoned at Old Trafford

Police and sniffer dogs were in the ground after they were told about the package

A suspect package was identified in the north-west corner of the ground, according to reports

Fans outside Old Trafford after the game was called off because of a suspicious package found in the ground

Old Trafford was evacuated on Sunday minutes before kick-off due to a security alert

RATIBA
Jumapili Mei 15

Mechi za Mwisho za Ligi, zote kuanza Saa 11 Jioni
Arsenal vs Aston Villa
Chelsea vs Leicester
Everton vs Norwich
Man United vs Bournemouth
Newcastle vs Tottenham
Southampton vs Crystal Palace
Stoke vs West Ham
Swansea vs Man City
Watford vs Sunderland
West Brom vs Liverpool 
Man United wakiwa tayari kwa Mechi kugombea nafasi ya 4 ili wacheze Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao