Sunday, May 15, 2016

FULL TIME: NEWCASTLE UNITED 5 v 1 TOTTENHAM HOTSPURS, NEWCASTLE WAFUNGA MSIMU KWA KUITEKETEZA SPURS!

LIGI KUU ENGLAND imefunga Msimu bila Mechi moja kuchezwa ile ya Old Trafford kati ya Manchester United na Bournemouth baada ya kufutwa kabla kuanza kutokana na tishio la kiusalama na Arsenal kutwaa Nafasi ya Pili baada ya kushinda Mechi yao huku Tottenham ikishindliwa 5-1 na Necastle iliyoshuka Daraja.2-0