Wednesday, May 11, 2016

FULL TIME: LIVERPOOL 1 v 1 CHELSEA, BENTEKE ATOKA BENCHI NA KUCHOMOA BAO DAKIKA ZA MAJERUHI!

Hazard dakika ya 32 anaipa bao la kuongoza Chelsea, Kipindi cha pili Benteke aliingia na dakika za nyongeza za dakika 90 mpira kumalizika kipa wa Chelsea alipangulia mpira kwake na kuumalizia nyavuni na mpira kumalizika kwa sare ya 1-1.
Ni shidaa!VIKOSI:
Liverpool walioanza XI: Mignolet, Clyne, Toure, Lovren, Moreno, Lallana, Milner, Can, Coutinho, Firmino, Sturridge
Liverpool akiba: Benteke, Lucas, Allen, Bogdan, Skrtel, Smith, Ojo
Chelsea walioanza XI: Begovic, Azpilicueta, Cahill, Mikel, Baba, Fabregas, Matic, Pedro, Willian, Hazard, Traore
Chelsea akiba: Alexandre Pato, Kenedy, Amelia, Loftus-Cheek, Palmer, Abraham, Tomori