Sunday, May 8, 2016

FULL TIME: TOTTENHAM HOTSPUR 1 v 2 SOUTHAMPTON, DAVIS AWAPA USHINDI WATAKATIFU LEO!

Mpira umekwisha Southampton ameibuka kidedea kwa bao 2-1 dhidi ya Spurs. Bao la Spurs limefungwa na Heung-Min Sondakika ya 16, Huku bao za Southampton zikifungwa na Mchezaji mmoja S. Davis dakika ya 31 na dakika ya 72 likiwa ndio bao la ushindi.

Southampton sasa wamepanda nafasi ya 6 wanapointi 60 na wamebakisha mechi 1 kumalizika kwa msimu huu 2015/2016 na Southampton wanajihakikishia kucheza Uefa Europa League msimu ujao.


Tottenham Hotspur 1 V 1 Southampton, kipindi cha pili kinaendelea bado ni 1-1.