Friday, May 20, 2016

PICHA: MAANDALIZI YA MISS MBEYA 2016


Warembo 20 kutoka Mkoa wa Mbeya wakiwa katika Pozi wakati wa Mkutano na waandishi wa habari katika Hotel ya Beaco jijini,kuelekea shindano la kumsaka Miss Mbeya 2016 litakalofanyika katika Ukumbi wa Hotel ya Paridise Sowetho jijini Mbeya. (Picha na Kenneth Ngelesi)

Warembo 20 kutoka Mkoa wa Mbeya wakiwa katika Pozi wakati wa Mkutano na waandishi wa habari katika Hotel ya Beaco jijini,kuelekea shindano la kumsaka miss Mbeya 2016 litakalofanyika katika Ukumbi wa Hotel ya Paridise Sowetho jijini Mbeya.

Anitha Patric mwanafunzi kutoka Chuo cha Uhasibu Mbeya TIA mmoja wa warembo watakaopanda jukwaani katika Hotel ya Paradise kumsaka miss Mbeya 2016 litakalofanyika mei 20 mwaka akizungumza na waandishi wa habari.