Wednesday, May 25, 2016

ASFC: FULL TIME: YANGA 3 vs 1 AZAM FC

Mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Amis Tambwe akishangilia bao la kuongoza aliloipatia timu yake dhidi ya Azam FC , katika mchezo unaopigwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, ikiwa ni Fainali ya Mashindano ya Kombe la Shirikisho (ASFA). hadi Timu ya Globu ya Jamii inaingia mitamboni, Yanga wanaongoza kwa Bao 2-1. Picha na Othman Michuzi.


Kikosi cha Yanga SC kilichaanza mchezo wa leo.

Kikosi cha Azam FC kilichaanza mchezo wa leo.

Wanayanga wafatilia Mtanange.