Thursday, May 26, 2016

RAFA BENITEZ ASAINI MKATABA WA MIAKA 3 KUENDELEA NA KLABU YA NEWCASTLE UNITED LICHA YA TIMU HIYO KUSHUKA DARAJA!

Benitez Akisaini Mkataba huo wa kumweka Newcastle United Miaka 3Wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari juu ya kuongeza Miaka 3 kuifundisha Klabu hiyo ya Newcastle UnitedKwenye Mkutano na Waandishi huko St. James Park