Monday, May 23, 2016

YANGA 2 MBEYA CITY 0


Yanga yaibuka Kidedea Mara baada ya Kuibugiza Timu ya Mbeya City Fc Goli Mbili kwa Sifuri, (2,0) katika Mchezo ulio Chezwa katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya huku wafungaji wakiwa ni Vicent Bossou Goli la Kwanza na Amis Tambwe Goli la Pili..

Kikosi Kazi cha Timu ya Mbeya City Fc Wakoma Kumwanya.

Baadhi ya Waamuzi wakisalimiana kabla ya Mtanange huo kuanza.

Goli Kipa machachali na Mkongwe katika Soka Nchini Juma Kaseja akiwa katika Mkao wa kiufundi lango la Mbeya City Fc.

PICHA ZOTE NA MR,PENGO MMG MBEYA.