Saturday, May 7, 2016

YANGA YAWATUNGUA WAANGOLA BAO 2-0 TAIFA LEO

Wachezaji wa Timu ya Yanga, Juma Abdul (kushoto) na Simon Msuva (kulia) kwa pamoja wakishangilia baada ya kupata goli la pili lililotiwa kimiani na Matheo Anthony (kati), wakati wa Mchezo wa Makundi wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya GD Sagrada Esperanca ya nchini Angola, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Yanga imeshinda bao 2-0. Beki wa Yanga, Juma Abdul, akijaribu kumtoka Mchezaji wa Timu ya GD Sagrada Esperanca ya nchini Angola, katika mchezo uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Yanga imeshinda bao 2