Thursday, June 23, 2016

AMANA BANK YABISHA HODI NDANI YA BUKOBA..


Bank ya Amana katika kuendelea kuleta maendeleo Nchini imesogeza huduma zake karibu na Wateja wake na sasa ina Tawi lake hapa Mjini Bukoba. Tawi hilo lipo Kwenye Ofisi za Bukoba Computer Mjini Bukoba karibu na Bank ya CRDB Bank. Kwa Mkaazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake unakaribishwa haraka iwezekanavyo ujipatie huduma hiyo Sahihi. Bank ya kwanza Tanzania inayofuata Sheria kikamilifu.

Account zake ni pamoja na Saving Account, Hajj Account, Annisaa Account, Nuru Account, Personal Current Account, Business Current Account, Fixed Deposit Account.

Dhamira ikiwa ni kutoa Huduma za kibenki za kisasa ba za kipekee zinazofuata Sheria kikamilifu kwa kuzingatia maadili na kwa njia iliyowazi kwa kutumia teknolojia ya kisasa kwa manufaa ya wadau wote.

Wateja wakiendelea kupata Huduma za Amana Bank leo hii Asubuhi.