Saturday, June 25, 2016

EURO 2016: LIVE..CROATIA 0 v 1 PORTUGAL, RICARDO QUARESMA AIPELEKA ROBO FAINALI PORTUGAL! RONALDO AWEKA REKODI!

Ricardo QuaresmaRicardo Quaresma  akishangilia bao lake la ushindi leo
Dakika ya 117 Portugal walipata bao kupitia kwa Ricardo Quaresma Dakika 90 zilikatimu Timu zote mbili zikiwa 0-0 na kuongezwa dakika 30