Friday, June 10, 2016

EURO 2016: FRANCE 2 v 1 ROMANIA, DIMITRI PAYET AWAAMSHA MASHABIKI KWA KUWAPA USHINDI WENYEJI FRANCE USIKU HUU!

Giroud dakika ya 58 bao la kichwa kipindi cha pili, Dakika ya 65 Stancu aliisawazishia bao Romania kwa mkwaju wa penati na kufanya 1-1 mbele ya Wenyeji France. Dakika ya 89 Payet aliwapachikia bao la pili na kufanya 2-1 dhidi ya Romania.Hadi mapumziko France 0 Romania 0Wenyeji France waumana na Romania