Saturday, June 18, 2016

EURO 2016: PORTUGAL 0 v 0 AUSTRALIA, RONALDO ACHEMKA PENATI! WAUMALIZA KWA MSHANGAO WA SARE!

Ronaldo kakosa penati kipindi cha pili na kuwafanya Portugal kumaliza mchezo huu kwa  0-0 dhidi ya Australia. Portugal sasa wanahitaji kushinda ,mechi yao ya mwisho na ukiangalia kundi hili kila Timu ina nafasi ya kusonga mbele itategemea matokeo ya mechi zao za mwisho kwenye kundi hilo.