Friday, June 24, 2016

GEPF YASHIRIKI BONANZA LA MICHEZO-MBEYA


Timu ya Netiboli ya Mfuko wa Mafao ya Uzeen GEPF wakiwa katika picha ya Pamoja kabla ya mchezo wao na timu ya Netiboli ya Chuo cha Utumishi wa Umma Mbeya katika bonanza la kuelekea Mkutano Mkuu wa Mwaka lililofanyika juzi katika Uwanja wa Chuo cha Uhasibu Mbeya. (Picha na Kenneth Ngelesi)

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa GEPF, Joyce Shaid akizungumza na wachezaji wa timu zilizoshiriki Bonanza.

Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko wa mafao ya kustaafu GEPF, Joyce Shaidi, akisalimia na wacheza wa timu Magereza.