Wednesday, June 15, 2016

KLABU YA WEST HAM UNITED YAMSAJILI MCHEZAJI WA ALGERIA SOFIANE FEGHOULI

Kiabu ya West Ham nchini Uingereza imemsajili mchezaji wa Algeria Sofiane Feghouli kwa kandarasi ya miaka mitatu.
Winga huyo anajiunga na kilabu hiyo katika uhamisho wa bila malipo.
''Ninafurahi kuweka mkataba na West Ham na kocha Slaven Bilic''.
''Historia ya klabu hii ni muhimu kwa uamuzi wangu'',Feghouli aliuambia mtandao wa West Ham United.