Thursday, June 2, 2016

ENGLAND 1 vs 0 PORTUGAL,CHRIS SMALLING AIBEBA ENGLAND MBELE YA JOSE MOURINHO!

Chris Smalling ameipachikia bao la kichwa England Dakika za mwishoni 86 na kuipa ushindi wa bao 1-0 timu ya Taifa England leo dhidi ya Timu ya Taifa ya Portugal ambayo imechezwa usiku huu bila staa wake Cristiano Ronaldo na wakiwa pungufu Uwanjani 10 baada ya mwenzao Bruno Alves kucheza rafu mbaya dakika ya 35 na kuoneshwa kadi nyekundu. Hii leo kwenye mechi ya kirafiki ya kujipima na ya mwisho kujiandaa na michezo ya Euro 2016 inayotrajiwa kuanza hivi karibuni.