Saturday, June 4, 2016

FULL TIME: TANZANIA 0 v 2 EGYPT, MOHAMED SALAH AIFANYIA MBAYA STARS TAIFA LEO! SAMATTA ADUWAA KUKOSA PENATI!

Dakika ya 43 Mohamed Salah anafunga bao na kuifanya Egypt kuongoza kwa bao 1-0 dhidi ya Wenyeji Taifa Stars. Bao hilo lilitokea kwa mpira wa adhabu uliopigwa na kuzama moja kwa moja na Mohamed Salah. 
Hadi mapumziko Egypt 1 Tanzania 0. 
Kipindi cha pili dakika ya 53 Taifa Stars walipata bahati ya penati lakini Samatta alipaisha mpira juu. 
Mohamed Salah tena dakika ya 58 anaipachikia bao la pili Egypt


KIKOSI CHA TAIFA STARS KINACHOANZA LEO DHIDI YA MISRI HIKI HAPA1. Deogratius Munish 'Dida'
2.Juma Abdul
3. Mwinyi Haji
4. Aggrey Morris
5. Erasto Nyoni
6. Himid Mao
7. Thomas Ulimwengu
8. Mwinyi Kazimoto
9. Elius Maguli
10.Mbwana Samatta
11.Farid Mussa


Akiba
1. Aishi Manula
2. Mohamed Hussein
3. David Mwantika
4. Shiza Kichuya
5. Jonas Mkude
6. Deus Kaseke
7. John Bocco


Benchi la ufundi
Kocha. Charles Boniface Mkwasa
Kocha msaidiz. Hemed Morroco