Monday, June 13, 2016

MEYA WA DENIMARK AZULU SHULE YA JOSIAH GIRLS' HIGH SCHOOL BUKOBA LEO

Meya wa Morsoe Nchini Denimark(katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi waandamizi wa Shule ya Josiah Girls pamoja na viongozi walioambatana na Meya leo Shuleni.

Meya akiweka Sahihi kwenye kwenye Kitabu cha kumbukumbu Shuleni hapo Josiah

Shule ya Josiah Girls High School ipo Manispaa ya Bukoba Kata ya Ijuganyondo Kilometa kama 7 kutoka Bukoba Mjini. Shule ipo maeneo mazuri ambayo umfanya Mwanafunzi kuwa makini na Masomo kwani Shule hiyo ipo Eneo la nje ya Mji nambako hakuna mwingiliano kitu ambacho ufanya Wanafunzi wa Shu;le hiyo kufanya vyema kwenye masomo yao na kwenye mitihani pia kiujumla. Shule ya Josiah ina Kidato cha kwanza mpaka cha Sita, Pia ni Miongoni mwa shule chache hapa Nchini Tanzania ambazo zimejichukulia Sifa kemkem kwa kufaulisha Wanafunzi wengi na huku wakijulikana zaidi kwa kutumia Vifaa vya kisasa Shuleni hapo.
Leo Jumatatu 13 juni, 2016 Meya wa Morsoe Nchini Denimark ametembelea Shule hiyoya Wasichana  inayofanya vyema Kimkoa na Kimtaifa kimaomo. 

Leo Jumatatu 13 juni, 2016 Meya wa Morsoe Nchini Denimark ametembelea Shule hiyoya Wasichana  inayofanya vyema Kimkoa na Kimtaifa kimaomo.